Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Mwanaume Mmoja Nchini Italia Amchoma KISU na Kumuua Mkewe Baada ya Kumnyima Unyumba Wakati Kashameza Viagra

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 80 raia wa nchini Italia amemchoma kisu na kumuua mkewe baada ya kunyimwa unyumba usiku wa Disemba 25.

Taarifa toka tovuti ya Daily Mail zinasema mwanaume huyo aliyefahamika kwa jina Vito Cangini alifikia uamuzi kufuatia kuahidiwa kufanya tendo la ndoa na mkewe Natalia Kyrychok (61) siku ya Krisimasi na baadaye kunyimwa wakati tayari akiwa ametumia vidonge aina ya Viagra.

Baada ya kufanya mauaji hayo, Vito alipanda kitandani na kulala. Asubuhi aliamka na kuendelea na shughuli zake ikiwemo kuwapeleka mbwa wake matembezini. Aliporudi alimpigia simu boss wa mkewe ambaye ni mmiliki wa mgahawa katika mji huo na kumwambia, hatomuona tena Natalia. Vito alikuwa anahisi boss huyo ana mahusiano na mkewe.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments