Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Mwijaku "Kisa Penzi Jipya, Harmonize Katusahau Ndugu zake, Naenda Kumgongea Geti Mara ya Mwisho"

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE
Unaambiwa Penzi jipya la @harmonize_tz na mpenzi wake Brianna, limefanya siku hizi akina @mwijaku_01 hawafunguliwi Geti la Konde Village.

Mwijaku amedai kuwa siku hizi Harmonize amewasahau kabisa ndugu zake, na juzi kati aliishia kugonga geti hadi ngozi ya vidoleni ikachubuka na bado mmakonde akamlia buyu😁. Harmonize anapunguza watu ili kupata muda mwingi na mpenzi wake.

Lakini Pia, Mwijaku amedai hii leo anaenda kujaribu mara ya Mwisho,aone kama atafunguliwa au lah.

Neno moja kwa Mwijaku😂👇

@ Leo Tena ya Clouds FM

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments