Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Mwijaku Shindwa Kujizuia Aisifia VIDEO Mpya ya Diamond Platnumz

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Mtangazaji na mwanamitandao maarufu kama DC wa insta Mwijaku ameshindwa kujizuia kusifia video mpya ya mwanamuziki Diamond Platnumz 'Unachezaje iliyotoka rasmi leo hii saa kadhaa zilizo pita.

Kupitia insta story yake Mwijaku ameshare sehemu ya video hiyo na kuandika ujumbe unao-onesha kukubali video hiyo iliyo ongozwa na director Ivan.

Ikumbukwe kuwa mtangazaji huyo mara kadhaa amekua akimkosoa msanii @diamondplatnumz wazi-wazi ,katika kazi zake za muziki na hata maisha binafsi

C©✍🏾@keviiiy.iam


 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments