Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Ndege Kutoka Tanzania Kutoruhusiwa Kutua Dubai Kuanzia Kesho

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREMamlaka ya Udhibiti wa Majanga ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imetangaza kuzuia ndege kutoka #Tanzania kutua kuanzia Desemba 25 kutokana na kuongezeka kwa Visa vya #Omicron

Nchi nyingine zilizozuiwa ni Kenya, Ethiopia na Nigeria. Hata hivyo, Ndege za UAE zitaendelea kupeleka abiria wake katika nchi zilizozuiwa

Raia wa UAE, ndugu zao wa karibu na Wajumbe wa Diplomasia watatakiwa kukaa karantini siku 10. Watatakiwa kupima #COVID19 siku ya 9

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments