Ticker

6/recent/ticker-posts

Ndugulile Afunguka "Changamoto ya DARAJA la Kigamboni ni Tozo"
Mbunge wa Jimbo la Kigamboni, Dkt. Faustine Ndugulile amesema Wananchi wa Kigamboni wanashukuru sana kwa ujenzi wa Daraja la Nyerere lakini Changamoto kubwa ni tozo, akitolea Mfano wa Daladala moja kutozwa Tsh. 5,000 kila linapopita

Dkt. Ndugulile amemuomba Rais Samia kuliangalia jambo hili ili kuleta nafuu kwa Wananchi wa Kigamboni na kufanya maisha yawe mepesi.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments