Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Nimetazama Mapokezi Ya Diamond Nchini Gambia, hakika nimeona ni somo kwa Wasanii - VIDEO

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

 


Jana ilikuwa ni Siku ya Furaha Nchi Gambia, Ikiwa ni Maadhimisho ya Kumbukumbu Ya Siku waliyo Pata Uhuru Nchini Gambia.

Kwa Kutambua Ukuwa wa Msanii Diamond, Serikali Ya Gambia Iliamua Kumualika Diamond Kuja Kuperform Katika Siku Hiyo.

Nimetazama Mapokezi Ya Diamond Nchini Gambia, hakika nimeona ni somo kwa Wasanii wa Bongo Kujifunza kutoka Kwa Diamond, Yale Mapokezi Nchini Gambia Diamond Hajawahi kuyapata hata akiwa Hapa Nchini Tanzania. Ni mapokezi Yaliyo Vunja Record katika kipindi hiki Tunacho Jaribishwa kuaminishwa kuwa Diamond Kaanza Kushuka Kimuziki, Nchi Gambia Wametuthibitishia Kuwa Diamond Bado Tunaye Sanaaa…

Wasanii wa Bongo wajifunze kufanya kazi Kwa Malengo na kuacha Janja Janja Katika Mziki, ikiwa ni pamoja na kutumia pesa nyingi Kujibrand.

Tazama mapokezi haya


 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments