Ticker

6/recent/ticker-posts

Profesa Jay Awaonya Wasanii "Msiwadharau Mashabiki Hao Ndio Wanawaletea Mkate wa Kila Siku"


Kutoka Kwenye Ukurasa Wa Instagram Wa @professorjaytz Ameandika ✍“Kwenu ndugu Wasanii na Watu maarufu, Mashabiki wenu wanapowapigania, kuwashangilia na kuwasapoti kwa Hali na MALI sio kwamba ni wajinga na wanawashobokea kiasi kwamba mkaanza kujiona nyinyi ndio nyinyi na kuanza kuwadharau, NO!

Bali kimsingi ni kwamba hawa ndio ROHO yenu, wanawajenga, kuwakuza na kuwaletea Mkate wenu wa kila siku na kila HESHIMA mliyonayo sasa, So mjifunze KUWAHESHIMU sana MASHABIKI, MEDIA na WADAU, maana bila wao hakuna nyinyi kabisa Nyambaaaf, ASANTENI SANA🙏

By PROFESSOR JAY The LEADER”


Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments