Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Rasmi: Yanga Yaachana na Kabwili

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREGolikipa namba mbili wa Yanga, Ramadhani Kabwili ameachwa rasmi na klabu ya Yanga.
Taarifa za ndani zinaeleza kuwa juzi Desemba 19, 2021, Kabwili alipewa barua ya kwaheri na Yanga na kumtakia kila la kheri hivyo sasa yupo huru kujiunga na timu nyingine yoyote.

Uongozi wa klabu ya Yanga unatekeleza ripoti ya kocha Nabi ambaye ameutaka uongozi kusajili wachezaji 5 wa nguvu na sasa wameanza mpango wa kumsajili Mohamed Makaka wa Ruvu Shooting kuchukua nafasi ya Kabwili.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments