Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Roma Akerwa na Watu Kumsema Lulu Diva Mitandaoni kuwa Hajajenga kwao

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURERapa wa muziki wa Bongo Fleva Roma Mkatoliki ametoa ya moyoni kwa kinachoendelea mitandaoni kwa baadhi ya watu kumsema Lulu Diva kutojenga nyumbani kwao Muheza Tanga wakati yanafanyika mazishi ya mama yake mzazi.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Roma ameandika kwamba

“Tunapofiwa/kupata matatizo yanayopelekea mkafika nyumbani kwetu, please fikeni na mshiriki kwenye matatizo hayo tu mkimaliza mrudi makwenu salama“.

“Haya mambo ya kwanini hujajenga kwenu, sijui muoneni ana-ball tu town ila kwao hajajenga hayawahusu, town kila mtu ana mipango yake bana“.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments