Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Serikali Nchini Kupitia Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo Watia Neno Kwa Diamond Platnumz na Director Kenny

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Serikali nchini kupitia wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo ametoa salam za pongezi kwa mwanamuziki Naseeb Abdul @diamondplatnumz na mtayarishaji wa video za muziki Kennedy Sanga @director_kenny kufuatia ushindi wa tuzo za African Entertainment Awards USA @aeausa zilizofanyika tarehe 26 mwezi huu huko

Pongezi hizo zimethibitishwa Kupitia barua rasmi iliyo chapishwa katika kurasa zao za mitandao ya kijamii na tovuti rasmi za wizara.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments