Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Simba Waipumulia Yanga..Yaipiga Vibaya Geita Gold

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE
Bingwa mtetezi wa ligi kuu bara klabu ya Simba imeendeleza ubabe kama ilivyo kawaida yao baada ya kufanikiwa kuwachapa Geita Gold goli 2-1.

Magoli ya Simba yalifungwa na Peter Banda (dakika ya 9) na Mzamiru Yassin (dakika ya 51) huki goli la Geita likifungwa na Juma Mahadhi (dakika 71).

Licha ya ushindi huo bado Simba inashika nafasi ya pili kwenye ligi kuu nyuma ya vinara Yanga ambao watakutana nao kwenye mchezo ujao wa ligi kuu bara Disemba 11,2021.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments