Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Tanzania Kinara wa Subscribers YouTube Kusini Mwa Jangwa la Sahara, Diamond Anashikilia Mwenge

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREHuenda nguvu ya mtandao nchini ikawa kubwa kuliko tunavyo dhani, Yes! hii ni kwa mujibu wa takwimu kutoka mtandao wa YouTube, ambapo kwenye orodha ya wasanii 10 wenye subscribers wengi katika mtandao huo kusini mwa jangwa la sahara tanzania🇹🇿 inashika namba moja.

Wakiongozwa na mwanamuziki @diamondplatnumz mwenye zaidi ya subscribers million 6.03 ambae ndie msanii mwenye subscribers wengi kusini mwa jangwa la sahara, akifuatiwa na @rayvanny pamoja na @harmonize_tz ,wanafanya tanzania kuwa kinara wakiwa na jumla ya subscribers million 12.45 kwa wasanii wa 3 tu.

C©✍🏾@keviiiy.iam

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments