Ticker

6/recent/ticker-posts


 

TANZIA: Kwa heri Desmond Tutu. Alama Dhidi ya Ubaguzi wa Rangi na Udhalimu Duniani

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

 
Askofu Desmond Tutu wa Afrika Kusini afariki dunia

Alipata kusema, “If you are neutral in situations of injustice, you have chosen the side of the oppressor. If an elephant has its foot on the tail of a mouse, and you say that you are neutral, the mouse will not appreciate your neutrality.”Kwa tafsiri isiyo rasmi;

"Ukiwa nyutro kwenye hali udhalimu umechagua upande wa mdhulumaji, kama unaona Tembo ameukanyaga mkia wa panya na wewe unasema uko nyutro panya hatafurahia unyutro wako"- Desmond Tutu


Mwana mwema wa bara la Africa. Unastihili kupumzika kwa amani, Africa itakukosa sana na utakumbukwa daima kwa kutumia mimbara yako ya dini kama jukwaa madhubiti dhidi ya uovu wa ubaguzi wa rangi na dhuluma ya binadamu mmoja mwenye mamlaka kwa mwingine.


Miaka yako 90 hapa chini ya jua haikuwa ya bure bali ya uongozi ulioutukuka katika uwanja wa mapambano ya haki na usawa wa binadamu. Sifa yako kuu ya tofauti na viongozi wengine wengi wa dini ni kutokubli kukaa kimya au kumung'unya maneno uliopoona dhuluma.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments