Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Tumbili Walipa Kisasi, Waua Mbwa 250

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREHizi ni ripoti kutokea Maharashtra, nchini India, ambapo kundi la tumbili limelipiza kisasi kwa kuwaua mbwa wapatao 250, baada ya kukasirishwa na kitendo cha mbwa kumuua kichanga chao.

Mashuhuda wa tukio hilo wameeleza kuwa, tumbili hao walitekeleza mauaji hayo kwa kuwakamata mbwa na kupandanao juu ya miti  kwenye nyumba na kisha kuwatupa chini.

Tayari mamlaka za wanyama pori nchini humo zimefika eneo la tukio na kuwakamata tumbili hao na kuwaweka kwenye uangalizi maalumu.

Ushawahi kukutana na timbwili la tumbili?

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments