Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Ufilipino Hali ni Tete..Kimbunga Chaipiga Mamia ya Watu Wafariki Dunia Picha Hizi Hapa

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Idadi ya vifo kutokana na kimbunga kikali kilichoipiga Ufilipino imeongezeka na kufikia Watu 375 huku wengine 56 bado hawajulikani walipo na mawasiliano yameharibika katika Miji mingi ikiwa ni pamoja na umeme umekatika.Kimbunga hicho kilichokuwa na upepo mkali kilichoipiga Nchi hiyo tangu Ijumaa wiki iliyopita na kuelekea eneo la bahari ya Kusini mwa China kimesababisha Watu 380,000 kuyakimbia makazi yao huku wengine zaidi ya 500 wakijeruhiwa.


 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments