Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Ujumbe wa Zari Baada ya Kufikisha Followers Milioni 10 "Visolokonkwinyo Wamejazana Hapa Utazani Ninapika Biriani"

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Mwanamama Zari The Bosslady Amefikisha followers Million 10 katika Ukurasa Wake Wa Instagram na kuandika ujumbe huu kwa Mashabiki Zake

✍“Napenda kuchukua nafasi hii ya kipekee kabisa kuwashukuru Vipenzi vyangu wote, Bila kuwasahau visolokonkwinyo wote 🤣 maana wao ndio wamejazana hapa kwenye 10M utasema nina serve biriani la Sele Bonge😆🤭

Jamani 10M si mchezo, nasema Asanteni sana haya si mapenzi bali ni MAHABA ya hali ya juu kabisa.

Nawapenda sana sana

Zeehive for Life Baby🌹

10M ya kibabe 🥂

Thank you so much for the love ❤

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments