Ticker

6/recent/ticker-posts

Unaambiwa Mwijaku Ndio Chawa Ghali zaidi Tanzania


Enzi hizo, Sekta ya Michezo/Sanaa na Burudani ilikuwa sio Rasmi, watu Walicheza Michezo na kufanya sanaa kwa mapenzi yao tu wala sio kwaajili ya pesa.

Lakini maisha yanabadirika, hivi sasa Burudani, Sanaa na Michezo imekuwa Sekta Rasmi kabisa na Watu kibao wanaingiza mkwanja mrefu sana.

Hivi sasa, Kanye West, Elton John, Ariana Grande, Jonas Brothers, Chainsmokers, Ed Sheeran, Taylor Swift na Post Malone ni baadhi ya wanamuziki wanaoingiza mkwanja mrefu sana Kupitia Sanaa ya Muziki.

Stephen Curry, James Harden, John Wall, Russell Westbrook, Damian Lillard, LeBron James na Kevin Durant ni baadhi ya Wachezaji wa Basketball wanaoingiza mkwanja Mrefu sana kupitia Mchezo wa Basketball.

C.Ronaldo, L.Messi, NEYMAR JR, KYLIAN MBAPPE na MOHAMED SALAH ni baadhi ya Footballers wanaoingiza mkwanja mrefu sana kupitia mchezo huo.

@mwijaku_01 ni Chawa ambaye anaingiza mkwanja mrefu sana kupitia uchawa. Uchawa wake ni very professional, wa kisomi zaidi. Ili @mwijaku_01 awe chawa wako inabidi umlipe pesa nyingi sana, sio kama wale chawa wa upande wa pili wanaonunuliwa kwa bei rahisi.

@mwijaku_01 ameheshimisha tasnia ya uchawa, hivi sasa kila kijana anatamani kuwa chawa

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments