Ticker

6/recent/ticker-posts

Unaambiwa Wizkid Amekunja Bilioni 6 Kutoka Kwenye Show 3 za 02 Arena...


Kwa mujibu wa Billboard, Wizkid ameingiza kiasi cha ($2.9 million) ambazo ni sawa na zaidi ya TSh. Bilioni 6.6 kwenye maonesho yake matatu ambayo aliyafanya katika ukumbi wa 02 Arena Jijini London Uingereza mnamo Novemba 28, 29 na Disemba 1 mwaka huu.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments