AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Hivi tunajua ni kwa kiasi gani @luludivatz kahangaika kumuuguza mama yake? Hivi tunajua ni kiasi gani kakipoteza kwenye kuhakikisha mama yake mzazi anapata dawa stahiki kwa ugonjwa wake? Leo hii mada kubwa watu tumehamishia kwenye makazi ya kwao,wengi wenu tukisema kila mtu apige picha akiwa kwao tutakimbiana ila mnachojua kukosoa wengine.
Hivi Lulu Diva ana utajiri gani hadi muone,wakati akipambana na maradhi ya mama yake, apambame pia na makazi ya kwao. Katoka kwenye uvixen,kaingia kwenye uimbaji, Akitoa muziki hamsapoti mnataka ajenge kwa kudanga ama? Kwani kuna mtu hapendi kujenga ama kuboresha kwao, nyie wajenzi na mameneja mipango wa Instagram?
Sijui ni up**"mbavu ama roho za kimasikini zinazo tutuma kutoa maoni ya ki***mbavu mitandaoni. Mtu kafiwa,hilo hamlioni mnachoona ni sehemu mama yake anapo pumzishwa, ifike hatua utu pia utangulie mbele hata mara moja moja kwenye mambo ya msingi. SHENZI!
By Sajo
📸@millardayo
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Good sana brother umeongea pont...
ReplyDeleteSasa kama ni kweli kwenu kubaya ndo tusiseme? Wajengeeni wazazi wenu nyie... Tutawazomea siku ya msiba! Ooooooooooo...
ReplyDelete