Ushamba wa Mitandao Unatutesa Kiasi Kwamba Hatujadili Msiba, Tunajadili Makazi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Hivi tunajua ni kwa kiasi gani @luludivatz kahangaika kumuuguza mama yake? Hivi tunajua ni kiasi gani kakipoteza kwenye kuhakikisha mama yake mzazi anapata dawa stahiki kwa ugonjwa wake? Leo hii mada kubwa watu tumehamishia kwenye makazi ya kwao,wengi wenu tukisema kila mtu apige picha akiwa kwao tutakimbiana ila mnachojua kukosoa wengine.

Hivi Lulu Diva ana utajiri gani hadi muone,wakati akipambana na maradhi ya mama yake, apambame pia na makazi ya kwao. Katoka kwenye uvixen,kaingia kwenye uimbaji, Akitoa muziki hamsapoti mnataka ajenge kwa kudanga ama? Kwani kuna mtu hapendi kujenga ama kuboresha kwao, nyie wajenzi na mameneja mipango wa Instagram?

Sijui ni up**"mbavu ama roho za kimasikini zinazo tutuma kutoa maoni ya ki***mbavu mitandaoni. Mtu kafiwa,hilo hamlioni mnachoona ni sehemu mama yake anapo pumzishwa, ifike hatua utu pia utangulie mbele hata mara moja moja kwenye mambo ya msingi. SHENZI!

By Sajo

📸@millardayo
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Good sana brother umeongea pont...

    ReplyDelete
  2. Sasa kama ni kweli kwenu kubaya ndo tusiseme? Wajengeeni wazazi wenu nyie... Tutawazomea siku ya msiba! Ooooooooooo...

    ReplyDelete

Top Post Ad