Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Uzalishaji wa Pombe ya Banana Wasitishwa Kwa Kutokidhi Viwango vya Ubora

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURERipoti ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) imeonesha pombe aina ya Banana haifai kwa matumizi ya binadamu kutokana na kuongezewa kiwango kikubwa cha kemikali ya Asetic Acid
-
Serikali imefikia uamuzi ya kusitisha uzalishaji wa pombe hiyo inayotengenezwa na kiwanda cha Tanbasi Investment kilichopo Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro
-
Wilaya ya Rombo imetajwa kuwa na matumizi makubwa ya pombe zisizo rasmi ambazo zinachangia matukio ya kihalifu na migogoro ya ndoa


 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments