Viwanja vinauzwa malipo ya Awamu: Mapinga na Vikawe




Viwanja vinauzwa bei nafuu tsh 4 million na luksa kulipa million 2 kwanza na million 2 italipwa kidogo kidogo ndani ya kipindi Cha miez 4.
Viwanja hivi viko Vikawe kanisa la KKKT umbali wa km 5 kutoka Baobab sec na barabara hii ya Mapinga to Kibaha tayari inakarabatiwa kwa kiwango Cha lami. Wahi ununue kabla ujenzi wa lami hii haujakamilika, viwanja vitapanda bei.

Huduma za umeme na maji ziko umbali wa mita 500 tu.

Kwa taarifa zaidi piga/whatsap  simu 0757100236

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad