Waandaaji wa Tuzo ya Ballon d'Or Kumpa Tuzo Lewandowski



Baada ya Lionel Messi kuzungumza kuwa mshambuliaji wa Bayern Munich Roberto Lewandowski anastahili kupewa tuzo ya Ballon d'Or ya mwaka 2020 Kauli hiyo imeungwa mkono na waandaaji wa Tuzo hizo

Taarifa zinadai waandaaji wa Tuzo hizo wanafikiria kumpa tuzo ya mchezaji bora kwa mwaka 2020



baada ya Hafla ya utoaji tuzo hizo kwa mwaka 2020 kutofanyika kutokana na mlipuko wa Covid 19 .

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad