Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Wachezaji 11 wa Tanzanite Wakutwa na Corona

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE
Shirikisho la Soka la Tanzania limeripoti kuwa wachezaji 11 wa Timu ya Taifa ya wanawake wenye umri wa chini ya miaka 20 ‘Tanzanite’ na viongozi watano wa benchi la ufundi wamekutwa na maambukizi ya Virusi vya Corona hivyo kikosi kimesaliwa na wachezaji 9 tu. Tanzanite wapo nchini Burundi kwa ajili ya mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia.


 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments