Ticker

6/recent/ticker-posts

Wakali Wizkid, Burna Boy na Davido Waungana Pamoja Kutoa Burudani X Mass...


Kiwanda cha muziki nchini Nigeria kinazidi kuungana kwa upendo, ushirikiano baina ya wa wasanii unazidi kuongeza nguvu kwenye muziki wao ambao umepiga hatua kubwa.

Usiku wa kuamkia leo wababe wa muziki wa Afrika Wizkid, Davido na Burna Boy walipanda Jukwaa moja na kutumbuiza katika hafla ya kuikaribisha Sikukuu ya krisimasi iliyoandaliwa na Tony Elumelu (Pichani) ambaye ni Mwenyekiti wa (BOA) Bank of Africa.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments