Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Wanigeria Bado Wanaamini TUZO Aliyochukua Diamond Platnumz Hakustaili....

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

Usiku wa kuamkia juzi kumefanyika utoaji wa tuzo za @aeausa ambapo washindi wamepata tuzo kulingana na Categories walizokuwepo huku wengine kama Davido na Burna Boy wakiambulia patupu. Kwa upande wa Bongo tumewakilishwa na watu wawili pekee, @diamondplatnumz ambaye amechukua tuzoya msanii bora wa mwaka (ARTIST OF THE YEAR) pamoja na @director_kenny kama Muongozaji bora wa Video wa mwaka (VIDEO DIRECTOR OF THE YEAR).


Diamond Platnumz amefanikiwa kuwaangusha wasanii wengine wakubwa kwenye category hiyo kama Wizkid, Burna Boy, Davido, Yemi Alade,Focalist na wengine kibao.


Hasa Mjadala kwenye Social Networks upande wa wanaijeria hasa mashabiki wa @wizkidayo (WizKid FC) wanaamini kuwa tuzo aliyobeba Diamond,ilistahili kubebwa na Wizkid maana ndiye msanii aliyebeba tuzo nyingi zaidi (5) kuliko msanii yeyote. Wiz amebeba Albam of the year (Made in Lagos), Best Male artist, Best Collaboration (Essence), Song of the year (Essence) na Best Music Video (Essence), tuzo zote hizi zinaonyesha msanii huyu kwa mwaka huu alikuwa bora zaidi.


Je ni kweli Diamond hajastahili tuzo hii mbele ya Wizkid?

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments