Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Watoto Wanne Wafariki Unguja Kisa Kula Nyama ya Kasa

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE
Watoto wanne wamefariki Dunia, Kaskazini Unguja huku wengine 47 wakiendelea kupatiwa matibabu katika hospitali ya Kivunge kutokana na kula nyama ya Kasa inayosadikiwa kuwa na sumu.

Taarifa zaidi tutakujuza.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments