Ticker

6/recent/ticker-posts

Waumini wa dini ya kiislam Wasikitishwa na Mo Salah Kusherehekea Siku Kuu ya X Mass


Waumini wa dini ya kiislam /Muslim waameonesha kusikitishwa na kitendo cha mchezaji nyota wa kimataifa wa misri na klabu ya Liverpool #MoSalah kusherehekea sikukuu ya Christmas.

Kupitia Instagram page ya mchezaji huyo mwenye zaidi ya followers million 46, ameshare picha akiwa na familia yake wakisherehekea sikukuu hiyo inayoadhimishwa na waumini wa dini ya kikristo duniani kote, jambo ambalo llimeonekana kuto wapendeza baadhi ya waumini wa kiislam na kumuachia maoni ya kutopendezwa na jambo hilo.Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

3 Comments

  1. Mbona kina CR7 na wachezaji wengi tu huonesha ushirikiano wakati wa idd

    ReplyDelete
  2. X-mass ni haramu, coz ni sherehe ya kifalme na sio cku ya kuzaliwa nabii ISSA km makafili wanovyoadhimisha

    ReplyDelete
Emoji
(y)
:)
:(
hihi
:-)
:D
=D
:-d
;(
;-(
@-)
:P
:o
:>)
(o)
:p
(p)
:-s
(m)
8-)
:-t
:-b
b-(
:-#
=p~
x-)
(k)