Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Wikiendi Kubadilishwa Uarabuni

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREJe ulikuwa unafahamu Ijumaa na Jumamosi ilikuwa ni wikiendi katika Umoja wa Falme za Kiarabu?

Umoja wa Falme za Kiarabu umetangaza utahamisha wikiendi kutoka siku ya Ijumaa na Jumamosi na kuwa Jumamosi na Jumapili ili kwenda sawa na soko la uchumi ulimwenguni.

Kuanzia January 1, wafanyakazi wote katika falme za kiarabu watafanya kazi siku 4 na nusu kuanzia jumatatu mpaka Alhamisi na Ijumaa watafanya kazi mwisho mchana.

Mabadiliko hayo yataisadia Umoja wa Falme za Kiarabu kuimarisha uchumi na soko la mafuta kwa kwenda sawa na nchi nyingine Duniani ambazo kazi hufanyika kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments