Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Wimbo wa Sukari Kutoka kwa Mwanamuziki Zuchu Umeshika Namba Moja Kenya

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Wimbo wa Sukari kutoka kwa mwanamuziki @officialzuchu umeshika nafasi ya kwanza katika orodha ya nyimbo 10 zilizo tazamwa zaidi nchini kenya katika mtandao wa youtube.

Wimbo huo uliopandishwa katika mtandao wa YouTube January 10-mwaka huu pia unashikilia rekodi ya kuwa miongoni mwa nyimbo zilizo tazamwa zaidi barani afrika kwa mwaka 2021, ukiwa na zaidi ya watazamaji million 61 katika mtandao wa youtube.

Mbali na Zuchu pia wimbo wa Baikoko wa @mbosso_ ft @diamondplatnumz umeshika nafasi ya pili, ambapo ni wasanii wa 3 tu kutoka tanzania akiwemo muimbaji wa nyimbo za injili #RoseMuhando walio tokea katika orodha hiyo ya nyimbo 10 zilizo tazamwa zaidi nchini kenya kwa mwaka 2021.

C©✍🏾@keviiiy.iam


 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments