Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Young Dee "Simkubali Stamina Hata KIDOGO, Ndio Chanzo Cha Mtu Chee Kuvunjika"

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Rapa Young Dee ameelezea hisia zake kwa rapa mwenzie Stamina, kwenye mahojiano na kipindi cha EMPIRE kupitia E-FM usiku huu, Young Dee amesema hamkubali Stamina na anadhani ndio chanzo cha kundi la 'Mtu Chee' kuvunjika.
-
"Mimi Stamina simkubali, hatuongei na sio mshkaji wangu. Halafu nadhani ndio alikuwa sababu ya sisi Mtu Chee kuvunjika. Simkubali naapa kwa Mungu na kama kuna shabiki yangu anamkubali Stamina basi ni snitch." alisema Young Dee. Cc. @bdozen @jonijooo

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments