Ticker

6/recent/ticker-posts


 

20 Percent Amvua Nguo Harmonize "Hakuwa Serious Labda Alitaka Kufanya Collabo na 20 Percent Fake"

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREMsanii @twenty_power789 Amefunguka Kua Kitendo Cha msanii @harmonize_tz Kutangaza Kua Atafanya Nae Kilikua Hakiko Serias Na kwamba Huenda Harmonize Alitaka kufanya kazi na twenty percent fake

Twenty percent Amesema Kua Hata Awali Harmonize alikua akifanya mawasiliano na mtu ambae sio yeye kitendo ambacho haelewi walikua wanawasiliana vipi na hata baada ya kumtafuta harmonize hakuona kama kuna userias wakufanya kazi hiyo.

@twenty_power789 Amefunguka hayo Kupitia #theswitch ya wasafi tv alipokua akifanyiwa mahojiano.


 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments