Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Afisa Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba, Barbara Gonzalez ametozwa faini ya sh. 500,000

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Afisa Mtendaji Mkuu wa klabu ya
Simba, Barbara Gonzalez ametozwa faini ya sh. 500,000 (laki tano) kwa kosa la kuishutumu Bodi ya Ligi kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii kuwa ilimzuia yeye na familia yake kuingia uwanjani kutazama mchezo wa ligi kuu ya NBC kati ya Simba na Yanga Desemba 11, 2021 jambo ambalo halina ukweli wowote.

Taarifa iliyotolewa na @tplboard imeeleza kuwa Barbara hakukubaliana na maelekezo halali ya maafisa wa mchezo huo kuhusu utaratibu wa kuingia eneo la watu maalum (VVIP) ndipo akaamua kuondoka.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments