Ticker

6/recent/ticker-posts

Afrika Kweli Ngangari...Who Yadai Asilimia 85 ya Waafrika Hawajachanja Chanjo ya Covid na Tuna PetaMkurugenzi wa Shirika la Afya (WHO), Dkt. Tedros Ghebreyesus amesema 85% ya watu barani Afrika hawajapata hata chanjo moja ya #COVID19
-
Amesema kuna safari ndefu ya kufikia lengo la kutoa chanjo kwa 70% ya watu katika kila Nchi, na hadi sasa kuna Nchi 90 hazijafikia lengo la 40%. Nchi 36 zimetoa chanjo kwa watu chini ya 10% ya wanaopaswa kupata
-
Dkt. Tedros amesema idadi kubwa ya watu wanaolazwa hawajachanjwa. Maambukizi mengi yanamaanisha kulazwa zaidi, vifo vingi, watu wengi zaidi kukosa kazi, na hatari zaidi ya minyumbuliko mingine kuibuka


Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments