Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Alikamwe "Mambo 10 nilioyaona Simba vs Azam FC"

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE1: CLASSIC MATCH.. CLASSIC PERFOMANCE From 🦁! WHAT A WIN🙌 NI MWAKA MPYA, SAKHO MPYA kwenye mioyo ya Mashabiki wa Simba

2: Kipindi cha kwanza, AZAM walikwenda kuwaonyesha Simba sanaa ya Kujilinda! MUDATHIR kama 'Pressing machine' kwenye mstari wa kwanza wa kujilinda kwenye Low Block Defensive System, kuliwapa maswali magumu sana viungo wa Simba

3: Mita 30 mbele ya Lango lao walikaba vyema kwa kuziba njia ya pasi ya ndani.. Kukawa na giza kwa mboni za viungo wa Simba.. Option pekee waliyobaki nayo ni kupiga nje ya 18! ILIKUWA PLAN nzuri kwa AZAM hadi pale walipofanya Sub ya Mudathir! Kwanini?

4: Ni kama Azam walitaka kwenda kuwaonyesha Simba PLAN B yao.. Sanaa yao ya kucheza kwenye kushambulia. Taratibu wakaanza kuufungua mchezo! Haikuwa hatari kwao mpaka Simba walipopata bao la kwanza kwa mpira uliokufa

5: SAKHO akapata mkimbio mzuri katikati ya mabeki. Nafasi aliyokuwa akiitafuta muda mrefu kiwanjani.. What A Run.. What A FINISH.. 🙌 Mechi ilipokuwa wazi, Quality ikaamua mchezo!

6: SALULA alikuwa bora kwenye Timing ya kudaka mipira ya krosi Lakini nafikiri Reaction yake kwenye mipira ya chini ilikuwa tatizo. Naamini angeweza kufanya zaidi ya alichokifanya katika bao la SAKHO

7: MKUDE🙌 Tunaweza kuona kawaida kwa sababu tumemzoea ... lakini JONAS ni Hatari sana kwenye kukontroo mchezo katikati ya kiwanja. Kichwa chake kinahesabu nzuri katika kuchagua upande wa kuweka pasi yake ya kwanza ya kujenga shambulizi

8: Ile PACHA ya ONYANGO na HENOC inazidi kuimarika. Wanatumana vyema kwenye nafasi na wanajitoa mno kwenye matukio ya 50/50! Wangweweza kumpa CLEAN SHEET MANULA kama sio Ubora wa Pasi ya dogo Janja, Tepsi na Ile Finishing ya viwango ya KOLA🙌

9: Mechi nzuri kwa Waamuzi chini ya HERRY SASI👏 Yako Baadhi ya kuboresha [Kama lile Tukio la Penalti] Lakini walionyesha kuwa na utimamu mzuri wa mwili kwenye kukimbizana na kasi ya mchezo

10: Well Done Kibu Dennis.. Kujiamini kunazidi kupanda👏 BWALYA hahitaji Malaika kumuelewesha kwanini mashabiki wa Simba wanammisi CHAMA.. Kazi nzuri pia kwa Amoah na Kanoute👏

Nb: Mnaumia mmefungwa Nyie?😃

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments