Ticker

6/recent/ticker-posts

Aliyekuwa Mke wa Ben Pol Anarlisa Muigai Katika Mahusiano Mpya ya Mapenzi


Huenda Ex wa mwanamuziki Ben Pol #ArnelisaMuigai yupo kwenye Penzi jipya baada ya kudokeza Kuhusu hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram.


CEO huyo wa Life still water na mrithi wa shamba la Keroche Arnelisa Muigai amedokeza hilo kwa kupost kwenye insta story yake emoj ya kopa kama ishara ya mapenzi, ikiwa ni miezi kadhaa tu baada ya kuvunjika kwa ndoa yake/ na kupeana talaka na aliyekua mumewe Ben Pol.

Aidha Mkurugenzi Mtendaji huyo aliingia kwenye headlines mapema wiki hii wakati wa kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kuonekana na mtu aliefanana na Ben Pol kwenye video ambayo ilisambaa mitandaoni akiwa amekaa kimahaba na mtu huyo ambae hajamuweka wazi kama ndie mpenzi wake wa sasa.

Cc✍🏾@keviiiy.iam


Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments