Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Breaking News: Rais Samia atangaza mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Rais Samia amebadilisha muundo wa Wizara Tatu, Ameunganisha Wizara ya Uwekezaji iliyokuwa chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Wizara ya Viwanda na Biashara kuwa Wizara Moja ambayo itaitwa Uwekezaji, Viwanda na Biashara.


Ameunda Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum na Wizara ya mwisho aliyoifanyia mabadiliko ni Wizara ya Afya


Uteuzi (Mawaziri Wapya):

Nape Nnauye - Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Hamad Masauni - Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi

Pindi Chana - Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu)

Angelina Mabula - Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

Hussein Bashe - Waziri wa Kilimo

Manaibu Wapya:

Anthony Mavunde - Kilimo

Jumanne Abdallah Sagini - Mambo ya Ndani

Dr. Lemomo Ole Kiluswa - Madini

Ridhiwani Kikwete - Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

Atupele Mwakibete - Ujenzi na Uchukuzi (Upande wa Uchukuzi)


Mabadiliko ya Mawaziri:

Jenista Mhagama - Utawala Bora

Ummy Mwalimu - Afya

Simbachawene - Katiba na Sheria

Ndalichako - Waziri wa Kazi

Bashungwa - TAMISEMI

Prof. Mkenda - Wizara ya Elimu

Dorothy Gwajima - Wanawake, Jinsia na Makundi Maalum

Mchengerwa - Utamaduni na Michezo

Dr. Kijaji - Uwekezaji


=====


Kwa Ufupi;


Ikulu

Mkuchika

Wizara ya Utumishi

Mhagama -Waziri

Ndejembi - Naibu

Tamaisemi

Bashungwa - Waziri

Silinde - Naibu

Festo

Makamu wa Rais

Jafo - Waziri 

Hamis Hamis - Naibu

Sera na Bunge

Pindi Chana -Waziri

Nderiananga - Naibu

Ajira na kazi

Ndalichako - Waziri

Katambi - Naibu

Fedha

Mwigulu - Waziri

Chande- Naibu Waziri

Ulinzi

Tax

Wizara ya Mambo ya Ndani

Masauni - Waziri

Sagini -Naibu

Wizara ya Katiba

Simbachawene - Waziri

Pinda - Naibu

Mambo ya Nje

Mulamula - Waziri

Mbaruku - Naibu

Wizara ya Kilimo

Bashe - Waziri

Mavunde - Naibu

Wizara ya Mifugo

Mashimba - Waziri

Ulega - Naibu

Wizara ya Ardhi

Mabula - Waziri

Kikwete - Naibu

Wizara ya Maliasili

Ndumbaro - Waziri

Masanja - Naibu

Nishati

Makamba - Waziri

Byabato - Naibu

Wizari ya Madini

Biteko - Waziri

Kiluswa -Naibu

Wizara ya Ujenzi

Mbarawa - Waziri

Atupele Mwakibete

Godtlfrey Kasekenya

Wizara Viwanda

Kijaji -Waziri

Kigahe - Naibu

Wizara ya Afya

Ummy Mwalimu - Waziri

Ole Mollel - Naibu

Wizara ya Elimu

Mkenda - Waziri

Kipanga - Naibu

Maendeleo ya kamii

Gwajima dorothy - Waziri

Mwanaidi Hamis - Naibu

Wizara ya Maji

Jumaa aweso - Waziri

Mahundi - Naibu

Wizara ya Utamaduni

Mchengerwa - Waziri

Gekul - Naibu

Habari Mawasiliano

Nape Nnauye - Waziri

Kundo Mathew - Naibu

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments