Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Breaking News : Timu ya Simba Yamtangaza Afisa Habari Mpya Kubeba Mikoba ya Haji Manara

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE
Klabu ya Simba imemtangaza mtangazaji kijana @ahmedally_ kuwa Afisa Habari Mpya.

Kabla ya kutangazwa kuwa Afisa Habari wa Simba, Ahmed Ally alikuwa mtangazaji wa Azam TV, lakini kabla ya hapo aliwahi kufanya kazi kwa muda mrefu kwenye kampuni ya Sahara Media [Radio Free Africa na Star TV].

Hongera sana @ahmedally_ kila la heri kwenye majukumu yako mapya.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments