Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Breaking News:Simba Wamtambulisha CHAMA Rasmi...."Welcome Back Home"

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREUongozi wa Simba SC utamtangaza mchezaji aliyesajiliwa na klabu hiyo katika kipindi hiki cha Dirisha Dogo la Usajili leo Ijumaa (Januari 14) mishale ya saa Saba Mchana.

Simba SC imetoa taarifa hizo kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii


Kupitia Ukurasa Rasmi was Simba Huko Instagram, Simba wamepost Picha ya Chama na Kuandika haya"

 Karibu nyumbani, Clatous Chama.
@realclatouschama | #Chama #NguvuMoja

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments