Diamond Platnumz Ampongeza Dr Akson Tulia "Tunakuaminia"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Staa na Rais wa Lebo ya WCB, @Diamondplatnumz ampongeza @tulia.ackson kwa kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa mgombea wa nafasi ya spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram (Insta story) Diamond amepost picha ya Tulia na kuandika: "CONGRATS MADAM @tulia.ackson Tunakuaminia and you know that...”


Download App ya Udaku Special BURE Kwenye Simu yako Upate Hizi Habari zetu Kirahisi...Bonyeza HAPA


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad