Harmonize Aomba Radhi Kwa Kutokukohoa Kwenye Ngoma yake Mpya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Ni headlines za mwanamuziki KondeBoy @harmonize_tz ambae ametumia insta story yake kuomba radhi kwa mashabiki zake baada ya kushindwa kukohoa katika wimbo wake mpya wa "Mwaka huu" uliotoka siku ya jana.

Style/Mtindo huo wa kukohoa kutoka kwa mwanamuziki huyo ambayo amekua akiutumia kama sign tune yake katika intro za nyimbo zake, umeonekana kuwa pendwa kwa mashabiki zake haswa katika siku za hivi karibuni.

C©✍🏾@keviiiy.iam


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad