Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Harmonize Atoa Onyo "Hakuna Tembo Mwembamba Sinaga Utani na Swala la Kazi"

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREUshaitazama video ya Ni Wewe, Ya kwake @officialkilly_tz ft @harmonize_tz ? Kama bado kaicheki huko ndani utakutana na tembo kibonge anavunja kama Michael Jackson😁.

Kupitia Instagram ya Harmonize, ameandika kuwa alitoa Onyo kwa killy kuhusu kuvunja, licha ya kuambiwa hawezi kutokana na ubonge wake.

“Ninachoshukuru Nilikupa Onyo Mapema Kwamba Sina Masihala wala Udugu Linapo Fika Swala La Kazi Ukasema Huwezi Ushakuwa Mnene Nikakujibu Hakuna Tembo Mwembamba ....!!!!!! Hata Akijikondesha Atarudi Kwenye Umbile Lake 🀣🀣 YAMEKUKUTA MDOGOANGU @officialkilly_tz Nazani Hukuyategemea Haya @officialkilly_tz OYAA GO CHECK OUT KONDE (MJ ) @michaeljackson RESPECT LEGENDS NEVER DIE πŸ™ Link on his bio @officialkilly_tz 🏁🏁🏁🏁"

Video hiyo hadi sasa ina views 500k+ ndani ya muda mfupi toka iwe uploaded.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments