Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Huyu Ndio Mwanaume Anayeshikilia Rekodi ya Kuwa na Umbile la Kiume Refu Kuzidi Wanaume Wote

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Rekodi ya mwanaume mwenye maumbile ya kiume makubwa imevunjwa na jamaa mmexico anaeitwa Roberto Esquivel Cabrera ambae ana uume wenye urefu wa takribani inchi 19 (18.9 inches to be exact).

Hata hivyo licha ya kujaliwa kuwa na Uume mkubwa namna hiyo, Roberto Cabrera hana amani wala furaha maishani mwake. Uume wake umegeuka kuwa kero badala ya kumletea fahari maishani. kwanini?

i. Jamaa mpaka leo ni bikira na hana mke wala mtoto. Bikira kivipi? Hadi leo hii akiwa na umri wa miaka 52 hajawahi kufanikisha kufanya tendo la ndoa. Baadhi ya wanawake wameogopa hata kufanya jaribio la kusex nae wakiogopa kuharibiwa kizazi.

Na mwanamke pekee aliejifanya nunda na kujaribu kumu-accomodate jamaa aliishia kulia kilio cha mbwa mwizi na kutoka nduki kabla jamaa hajaingia hata nusu!

ii. Pia, Mr. Cabrera amekuwa akikabiliwa na maambukizi ya njia ya mkojo (UTI) mara kwa mara kwasababu anashindwa kuutoa mkojo wote nje wakati wa kukojoa. Hii ni kwasababu ya urefu uliozidi wa urethra.

iii. Pia jamaa ameshindwa kupata kazi yoyote nchini Mexico kwasababu serikali inamuona jamaa kuwa ni mlemavu na anahitaji msaada maalumu.

iv. Pia jamaa anashindwa kutembea comfortably kwasababu uume wake umekuwa ukimsumbua kila anapojaribu kupiga hatua. Huko mitaani nako kila mtu anatokea kushangaa umbile la jamaa ambalo jamaa ameshindwa kabisaaaa kulizuia hata akivaa magunia na kanzu nzito.

Katika harakati za kumsaidia jamaa, ilishauriwa na wataalamu wa tiba kuwa jamaa afanyiwe operation ya kuupunguza uume wake ili ubaki at least 6 inches. Ila jamaa alikataa katakata akidai kuwa ukubwa wa mshindende wake ndio unaompatia fahari na umaarufu kokote aendako.

Huku akijidai kuwa mwanaume mwenye mashine kubwa ndie anaeonekana
mwanaume wa kweli! Pia jamaa ana malengo ya kuhamia Marekani ili akawe porn star na apate kujitengenezea utajiri na umaarufu wa kutosha kwasababu mtaji wa maumbile anao!

Kweli duniani hakuishiwi vituko!

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments