Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Kajala Afunguka Kurogwa na Mpenzi Wake

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREMWIGAZAJI Kajala Masanja alikuwa gumzo mno alipokuwa kwenye makopa na Harmonize au Konde Boy Mjeshi, lakini baada ya kumwagana dizaini kama alipoa.

Hata hivyo, kwa sasa Kajala amethibitisha kuwa kwenye penzi jipya baada ya kusema; “Sijawahi kupenda kiasi hiki, this is too much, nina wasiwasi safari hii nitakuwa nimerogwa, aki nimerogwa…”


Kauli ya Kajala inathibitisha tetesi za wiki kadhaa kwamba hivi sasa ana mpenzi mpya ambaye ameamua kufanya siri asijulikane kama wanavyofanya waigizaji wenzake wa Bongo Movies, Irene Uwoya, Wema Sepetu, Shamsa Ford na wengine kibao.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments