Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Kenya: Al Shabaab Wavamia Kijiji, Waua Sita

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURETakriban watu sita wameuawa na vijiji kuchomwa moto na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa Al Shabab katika mji wa pwani wa Lamu nchini Kenya, katika tukio lililotokea leo Jumatatu Januari 3, 2021.

Jeshi la polisi nchini humo linaeleza kuwa wapiganaji waliokuwa na silaha nzito walishambulia vijiji vya eneo la Widho na kusababisha maafa makubwa.

Kundi hilo la wanamgambo limefanya mashambulizi mengi katika kaunti ya Lamu ambayo iko mpakani mwa Somalia katika maeneo yanayofikiriwa kuwa ngome ya kundi hilo linaloshirikiana na mtandao wa Al Qaeda

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments