Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Klabu ya Young Africans imetozwa faini ya sh. 1,000,000 (milioni moja)

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Klabu ya Young Africans imetozwa faini ya sh. 1,000,000 (milioni moja) kwa kosa la kuingia uwanjani (Benjamin Mkapa ) kwa kutumia mlango usio rasmi katika mchezo wa ligi kuu ya NBC dhidi ya Simba Sc uliochezwa Disemba 11, 2021.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments