Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Kocha Mkuu wa klabu ya Simba, Pablo Franco amepewa Onyo Kali kwa kosa la kushindwa kuzuia hisia

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Kocha Mkuu wa klabu ya Simba, Pablo Franco amepewa Onyo Kali kwa kosa la kushindwa kuzuia hisia ama mihemko yake hali iliyosababisha aoneshe vitendo visivyo vya kiuanamichezo wakati mchezo kati ya Simba na KMC FC

Pablo alionekana akitupa chini chupa ya maji kwa hasira pamoja na kupiga teke kiti baada ya kutokea mvunjiko wa mawasiliano baina ya benchi la ufundi na mwamuzi wa akiba, matukio ambayo yalileta picha mbaya kwa watu waliokuwa wakifuatilia mchezo huo kwenye uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora na waliokuwa wakitazama kupitia Runinga.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments