1/22/2022

Kumekucha...Harmonize na Briana Waachana, Hamo Athibitisha Kwa Kuandika Haya


Huenda penzi la mwanamuziki na C.E.O.wa KondeGang @harmonize_tz na mpenzi wake mzungu raia wa Australia #briana limevunjika , kulingana na mfululizo wa post zake kupitia insta story yake.


Ikumbukwe kuwa penzi la Harmonize na Briana lilianza rasmi mwishoni mwa mwaka jana miezi kadhaa baada ya kuachana na aliyekua mpenzi wake #Kajala.

Mbali na hayo mwanamuziki huyo ametangaza kuachia wimbo wake mpya siku ya kesho unaitwa 'Mwaka Wangu'

Cc✍🏾@keviiiy.iam


HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger