Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Kumekucha..Hawa Hapa Waliokuwa Mawaziri Ila Leo Rais Samia Kawapiga Chini

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi, Januari 8, 2022 amefanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri ambapo ameingiza mawaziri wapya na manaibu waziri huku akiwaacha aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Prof. Palamagamba Kabudi, aliyekuwa Waziri wa Ardhi, William Lukuvi, aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Bishahara, Prof. Kitila Mkumbo na aliyekuwa Waziri wa Uwekezaji, Geofrey Mwambe.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments