Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Matokeo Yafutwa......

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Baraza la Mitihani NECTA limefuta matokeo yote ya watahiniwa 214 waliofanya udanganyifu katika upimaji/mtihani kwa mujibu wa Kifungu cha 5 (2) (i) na (j) cha sheria ya Baraza la Mitihani sura ya 107 kikisomwa pamoja na Kifungu cha 30(2) (b) 2016 cha kanuni za Mitihani.

Kati ya watahiniwa waliobainika kufanya udanganyifu watahiniwa
83 ni wa Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne (SFNA), 27 ni wa Upimaji wa Kitaifa wa Kidato cha Pili (FTNA), 102 ni wa Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) na Watahiniwa 02 ni wa Mtihani wa Maarifa(QT).


 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments